NA ALBERT G.SENGO
Karibu Halmashauri ya wilaya ya Ngara, sehemu yenye amani na watu wakarimu. eneo lenye utajiri wa utalii wa kipekee kama maporomoko ya Rusumo na Mafiga Matatu. Mafiga Matatu eneo moja lenye vilima vitatu vinavyopatikana nchi tatu tofauti, kilima kimoja kikiwa Rwanda, kingine cha pili Burundi na cha tatu Tanzania. Mwandishi wetu Jofrey John 'Suzuki Drumdrum' anasafiri zaidi ya umbali wa kilometa 391.4 hadi kijiji cha Kasange kata ya Kilusha wilayani Ngara kujionea tunu hii hazina ya utalii Tanzania.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.