Meneja wa Kanda ya Ziwa TCRA Mhandisi Imelda Salum akitoa Semina kwa wandishi wa habari wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC) juu ya Mchango wa vyombo vya Habari katika kuzichangamkia fursa zilizopo kwenye uchumi wa kidigitali, semina hiyo ilifanyika saa chache kabla ya Mkutano Mkuu wa chama hicho uliofanyika Jumatatu ya tarehe 10 Disemba 2024 katika ukumbi wa TMDA Buzuruga jijini Mwanza.

Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza Ndg, Edwin Soko akitoa neno la shukurani baada ya Semina toka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania iliyotolewa na Meneja wa Kanda ya Ziwa TCRA Mhandisi Imelda Salum kwa wandishi wa habari ikihusu Mchango wa vyombo vya Habari katika kuzichangamkia fursa zilizopo kwenye uchumi wa kidigitali, semina ilifanyika saa chache kabla ya Mkutano Mkuu wa chama hicho uliofanyika Jumatatu ya tarehe 10 Disemba 2024 katika ukumbi wa TMDA Buzuruga jijini Mwanza.
Sehemu ya wadau wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC)
Sehemu ya wadau wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC)
"Msijikite tu kwenye taarifa za matukio bali pia wekezeni kwenye habari na makala mbalimbali za mipango na miradi ya kimkakati" Ni kauli ya Meneja wa Kanda ya Ziwa TCRA Mhandisi Imelda Salum akitoa Semina kwa wandishi wa habari wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC) juu ya Mchango wa vyombo vya habari katika kuzichangamkia fursa zilizopo kwenye uchumi wa kidigitali.
"Kila mtu anatamani kuwepo mtandaoni lakini Jeh! huko mtandaoni anapeleka nini?" amehoji Mhandisi Imelda na kuongeza "Fursa ni nyingi ila zisipodhibitiwa au kuwekewa mipaka na wataalamu kama ninyi zitatuliza au kugeuka sumu kwa kizazi kijacho kwakuwa hakuna tafiti zitakazo kuwa zimeiainisha kweli iliyo kweli"
"Nataka m-move from UDAKU and UMBEA to FIKRA chanya za Maendeleo"
Picha ya pamoja.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.