Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, ameongoza wakazi wa mkoa huo kushiriki Matembezi na Maombi ya kuuombea mkoa na taifa kwa heshima ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo, Desemba 09, 2024.
Matembezi hayo yalianzia Mzunguko wa Impala kupitia Clock Tower, Barabara ya Sokoine (Uhuru Road) hadi Mnara wa Mwenge (Azimio la Arusha), ambapo maombi maalumu yamepangwa kufanyika. Kauli Mbiu: "Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara; Uongozi Madhubuti na Ushirikishwaji Wananchi ni Msingi wa Maendeleo yetu." #Miaka63YaUhuru #ArushaMatembezi #TanzaniaBaraTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.