NA ALBERT G.SENGO/MWANZA
Tukiwa bado tuko katika maenesho ya wafanyabiashara Afrika Mashariki (EAC) yanayoendelea katika viwanja vya Furahisha Mwanza yakiandaliwa na TCCIA tunakutana na mwekezaji huyu anayetoka nchini Uganda anayejihusisha na zana za ujenzi toka kampuni ya EA ROOFING . Pamoja na wenyeji Tanzania, washiriki wengine ni kutoka nchi za Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan kusini na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.