NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
Wiki ya Mwananchi imezinduliwa rasmi leo jijini Mwanza katika viwanja vya Furahisha, kata ya Kirumba wilayani Ilemela, ikiambatana na zoezi la uchangiaji damu na kutoa misaada mbalimbali, huku kilele chake kikitarajiwa kuwa Julai 22, 2023 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es SalaamTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.