NA ALBERT G. SENGO/𝗨𝗞𝗘𝗥𝗘𝗪𝗘
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Amos Makalla amesema, Mwenge wa Uhuru mkoani hapa unatarajiwa kuweka mawe ya msingi kwenye miradi 17 yenye zaidi ya shilingi bilioni 13.7, kufungua miradi 9 ya zaidi ya shilingi bilioni 3.5, kuzindua miradi 15 yenye thamani ya shilingi bilioni 3.1 huku ukitarajiwa kutembelea miradi 10 iliyogharimu shilingi milioni 609.2 . Mwenge wa uhuru umepokelewa wilayani Ukerewe ukitokea mkoani Mara.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.