NA ALBERT G.SENGO/MWANZA
Jengo la Hoteli itakayokuwa na hadhi ya Nyota tano ambayo inaendelea kujengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF Mkoani Mwanza sasa kuendelezwa, likitarajiwa kukamilika mnamo mwezi Juni mwakani 2024. Baada ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ukaguzi wake katika ziara yake ya terehe 14 juni 2023 jijini hapa, Masha John Mshomba ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF anafunguka zaidi kuhusiana na uendelezwaji huo wa ujenzi ikiwa ni pamoja na mikakati iliyowekwa.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.