Waziri Mkuu Kasim Majaliwa ameigiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kukisitisha kikosi kazi kilichoundwa kwa ajili ya kukusanya kodi eneo la Kariakoo huku akikerwa na tabia ya watumishi wa mamlaka hiyo kuacha kutekeleza maagizo yanayotolewa kwa madai kwamba ni ya kisiasa.
Majaliwa amesema hakuna mtumishi yeyote wa umma mwenye mamlaka ya kudharau maagizo yanayotolewa na viongozi wake.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.