Mwanamume mmoja Mkenya ameelezea uchungu wake baada ya mpenzi wake aliyedai kuwa na mimba yake kujifungua mtoto mwenye asili ya Kihindi.
Akisimulia masaibu yake
kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, mwanamume huyo alikuwa amejawa na
machungu akisimulia jinsi mpenzi wake
alimdanganya kuwa ana uja uzito wake
Alisikitika kuwa licha ya
kuwa mpenzi alimyejali sana katika kipindi chote cha ujauzito wake na kukidhi
mahitaji yake yote alimzalia mtoto mwenye asili ya Kihindi
Akisimulia masaibu yake
kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, mwanamume huyo alikuwa amejawa na
machungu.
alisema aliumia sana moyoni
mpenziwe aliyedhania kabeba uja uzito wake alijifungua mtoto wa kiume wa
Kihindi hospitalini dhahiri kwamba alikuwa akimdanganya.
Huku mmoja wa wafuasi wake
kwenye Twitter akimuuliza iwapo katika familia yake kuna watu wenye asili ya
Kihindi, alisema mpenzi wake alikuwa mhudumu katika mkahawa mmoja wa Kihindi na
kumfanya afikiri kwamba ndipo alipomlaghai na kupata motto.
Alisikitika kuwa licha ya
kuwa mpenzi alimyejali sana katika kipindi chote cha ujauzito wake na kukidhi
mahitaji yake, baadaye aligundua kuwa mtoto huyo hakuwa wake.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.