NA ALBERT G.SENGO/MISUNGWI
Sospeter Mkakaru ni shemeji wa marehemu Milembe Suleiman ambaye alimsomesha marehemu katika ngazi ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza.
Mwili wa marehemu, Milembe Suleiman, aliyekuwa Afisa Ugavi wa Kampuni ya Madini ya dhahabu ya Geita Gold Mine (GGM) umeagwa hii leo katika kitongoji cha Nyashimba, kijiji cha Sanjo kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza ambapo baadaye umesafirishwa kuelekea mkoani #Geita kwaajili ya mazishi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.