NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
Shirika lisilokuwa la Serikali la Nourich Africa ambalo limekuwa likijihusisha na masuala la utunzaji na uhifadhi wa mazingira hapa nchini limezindua kampeni inayohusisha mchezo wa soka, kuwa kichocheo kwa kuwahusisha wanamichezo katika kuongeza kasi ya upandaji wa miti. Mkurugenzi wa Shirika hilo injinia Balbina Andrew amesema, wameamua kuwashirikisha wanamichiezo kuwa Mabalozi katika kutangaza upandaji wa miti na kuhakikisha miti hiyo inakuwa. #mwanza #samiasuluhuhassan #tunzamazingiraTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.