NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
Katika kuhakikisha wakazi wanaoishi katika bonde la ziwa Victoria wanakuwa salama Benki ya NMB kwa kushirikiana na Jumuiya ya Serikali za Mitaa zinazozunguka bonde hilo kutoka nchi za Tanzania , Kenya na Uganda zimeanzisha mkakati wa pamoja wa kudhibiti mabadiliko ya tabia ya nchi katika kulinda na kuhifadhi mazingira.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.