NA ALBERT G. SENGO
Kupitia kipindi cha Mchakamchaka ndani ya Jembe Fm Mwanza ukiwa na watangazaji wako George Kimini pamoja naye Pascal Kadushi. - Ni wiki chache zilizopita dunia imeshuhudia tetemeko kubwa la ardhi likitikisa Syria na Uturuki na kuua maelfu ya watu, swali kuu hapa tulishuhudia nyumba na maghorofa makubwa yakianguka na kumomonyoka kama biskuti au kama yalijengwa kwa udongo. Watu wakithubutu kusema hayakujengwa kwa uimara kwa Tahiti zenu hili linaukweli kiasi gani? - Jeh mmeweka mikakati gani kunusuru majanga kama hayo yakipita hapa nchini yasijeacha madhara kama hayo ya wenzetu? Hasa ukizingatia Kanda ya ziwa hususani mkoa wa Mwanza kwa eneo kubwa umezungukwa na eneo kubwa la maji? Pamoja na hayo lekini Jeh........ - Majukumu ya ERB ( bodi ya usajili wa wahandisi) ni yapi hasa? - Hatua zipi mnazichukua kwa wahandisi wasiofata taratibu? - Usajili wa wahandisi una maana gani?Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.