YAFUATAYO NI MAGONJWA YANAYOWEZA KUSHAMBULIA KINYWA NA MENO:-
- Kuoza meno. - Mawe kwenye meno ambayo hupelekea kulegea meno na kung;oka. - Mpangilio mbaya wa meno. - Kutokwa na damu kwenye fizi. - Kuvunjika mifupa ya uso (mandibulura fracture and zygoma na maxilla fractures) - Uvimbe sehemu ya uso hasa kwenye mataya unaozidi siku saba. - Vidonda visivyo pona kwa muda wa zaidi ya wiki mbili kwenye ulimi na sehemu mbalimbali za kinywa. - Harufu mbaya kinywani. Pamoja na kutibu maradhi mengine St. Clare Hospital iliyopo Mkolani Nyahingi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza ina idara ya Afya ya Kinywa na Meno ambayo imesheheni wataalamu na vitendea kazi vya kutosha.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.