NA ALBERT G. SENGO/ IRINGA
WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania ((Tanzania Forest Services (TFS) kupitia shamba la miti la Sao Hill lilopo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wamefanikisha mashindano ya magari ya mbio fupi ya Sao Hill Auto Cross ambayo yalikuwa kivutio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Iringa na nje ya mkoa wa Iringa waliofika katika eneo ambalo mashindano yalifanyikia
Akizungumza baada ya kuzinduliwa rasmi kwa mashindano hayo katika Shamba la Miti Sao Hill linalomikiliwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS), Mhifadhi Mkuu wa Shamba hilo Lucas Sabida amesema ndio mara ya kwanza kwa Wakala huo kuandaa mashindano hayo ikiwa ni utalii mpya ambao wameutambulisha kwenye sekta ya utalii nchini.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.