1. Wengi tunazaliwa na uono safi na maridadi kabisa, lakini kadri miaka inavyosonga uono wa awali unapotea na kutofautiana na wa zama hizi za ukubwani, huyu atasema sioni mbali naona karibu, yule atasema naona mbali sioni karibu, lakini chaajabu wengi huchukulia jambo hilo kama suala la kawaida tu.... Jeh unajua nini kinachotokea hapa?
2. Upi mwanga mzuri kwaajili ya kujisomea hasa majira ya usiku? 3. Zipi faida za kuwahi kupata tiba kabla ya tatizo kuwa kubwa zaidi? 4. Hivi presha ya macho iko vipi na inasababishwa na nini. Ungana na Dr. Emmanuel Ezekiel wa 'Ona Eye Care' ambaye tumepata kufanya mazungumzo naye katika maonesho ya Biashara yanayofanyika viwanja vya Nyamagana jijini Mwanza.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.