Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima amewataka wazalishaji wa bidhaa ikiwemo wazalisha wa nyama nchini kuacha kulalamika kwamba hakuna soko la nyama nje ya nchi badala yake wazingatie vigezo vya kimataifa vya uzalishaji wa bidhaa hiyo.
Malima ametoa kauli hiyo leo alipokuwa akifungua Semina ya Kuhamasisha Masuala ya Ushidani na Udhibiti wa Bidhaa Bandia kwa wazalishaji mkoani Mwanza iliyoandaliwa na Tume ya Ushindani nchini.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.