DC Ilemela, Waziri Mabula wafunguka.
Saa zinahesabika kufikia siku ya SENSA ya Tanzania 2022.
Siku nne kabla yaani Ijumaa ya tarehe 19 Agosti Mkuu wa wilaya ya Ilemela pamoja na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula walikutana na wenyeviti wa kata mbalimbali za wilaya ya Ilemela nia ni kutia msisitizo wa mwisho na kukazia elimu ya SENSA iliyotolewa kwa vipindi tofauti.
#SENSA #mwanza #SENSABIKATupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.