Itaru Nakamura amesema ameamua kuwajibika juu ya dosari za Usalama ambazo uchunguzi ulionesha Jeshi halikumlinda ipasavyo Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022-
Taarifa hiyo inakuja wakati ripoti ya Uchunguzi iliyotolewa leo ikionesha kulikuwa na udhaifu mkubwa ndani ya Jeshi la Polisi juu ya kupanga ulinzi katika eneo ambalo Abe alishambuliwa
-
Ingawa Nakamura hajasema ni lini ataondoka Ofisini, ombi la kujiuzulu kwake linatarajiwa kuidhinishwa katika mkutano wa Baraza la Mawaziri Agosti 26, 2022.
Tupe maoni yako


0 comments:
Post a Comment