Saitabao Ole Kanchory alisema kuwa Raila hatajitokeza hadi timu yake ihakikishe matokeo rasmi ya uchaguzi ni rasmi.
"Tumepata ripoti za kijasusi kwamba mfumo wao ulidukuliwa na kwamba baadhi ya maafisa wa IEBC walitenda makosa ya uchaguzi na baadhi yao walifaa kukamatwa mara moja," akasema.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.