Maelfu ya Watu wakusanyika Tamasha la Sanjo ya Busiya (7SabaFEST) Ikiwa ni kilele cha siku ya kiswahili Duniani pamoja Kilele cha sherehe za sanjo ya Busiya wilayani kishapu mkoani shinyanga ,Ntemi wa Busiya Edward Makwaia ametumia Tamasha hilo kuwataka watanzania kutunza na kuenzi Kiswahili, kwani ni Lugha ya Taifa pia ni alama muhimu inayotambulisha utamaduni wa mtanzania.
Pia nao msisitizo wa SENSA ukatolewa.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.