Hersi Said amtangaza mchezaji mpya Bigirimana mbele ya wapiga kura
“Gael Bigirimana is green and yellow” maneno ya Rais mpya wa Yanga SC, Hersi Said akimtangaza mchezaji mpya mbele ya wapiga kura kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere.
Gael Bigirimana
Arusha Yasimama Kwenye Maombi: Miaka 63 ya Uhuru
-
Viongozi wa dini ,mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda na wananchi
wakiendelea na maombi katika matembezi ya kuombea mkoa wa Arusha na
maathimisho ya mi...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.