Taarifa mbaya kutoka Ziwa Victoria, zinamhusu mvuvi aliyejulikana kwa jina la Salehe Haruna (42) anatajwa kuzama maji katika eneo la Sweya wilayani Nyamagana mkoani Mwanza,
Mkewe Salehe aitwaye Helleno Misoji ameonekana kuweka kambi pembezoni mwa eneo la ufukweni mitumbwi inapotia nanga, akikoroga uji kwenye mafiga pasina kuwa na moto akilia na kuliita jina la mumewe.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.