ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, July 13, 2022

Mike Sonko Kugombea Ugavana Mombasa, Mahakama Yampa Ruhusa

Mahakama ya juu imefutilia mbali uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC) na afisa mkuu wa tume hiyo katika kaunti ya Mombasa wa kumzuia liyekuwa Gavana wa Nairobi Mike Sonko kuwania nafasi ya ugavana kaunti ya Mombasa.

 UGC Mahakama pia imeagiza afisa wa uchaguzi wa Kaunti na IEBC kukubali karatasi za uteuzi wa Sonko. Mahakama hiyo ya majaji watatu wakiongozwa na Stephen Githinji iliamua kwamba Sonko anastahili kwa mujibu wa katiba kuwania ugavana Mombasa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.