WOMEN ROUND TABLE TANZANIA NA GEWOMA WATOA MSAADA WA MAGODORO 80 KWA WATOTO WENYE UHITAJI GEITA
NA ALBERT G SENGO/ GEITA Taasisi ya Women Round Table, Ikishirikiana na Chama cha Wachimbaji Madini Wanawake Mkoani Geita, Mapema wiki hii imekabidhi magodoro Yenye thamani ya zaidi ya Shilingi 4 kwa Shule ya Msingi ya watoto wenye uhitaji maalum ya Mbugani.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.