Yafanikisha kujenga kliniki ya macho itakayohudumia zaidi ya wagonjwa wa 400 wa macho kwa siku, ambapo awali ilikuwa inahudumia wagonjwa 150 tu kwa siku lakini kwa sasa baada ya miundombinu kuboreshwa itakuwa na uwezo wa kuhudumia wagonjwa 300 hadi 400 kwa siku.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.