ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, January 19, 2020

KABLA YA MCHEZO WA ALLIANCE NA SIMBA NABII MASHIMO AMETABIRI HAYAMchungaji maarufu mtandaoni maarufu kwa Mchungaji Mashimo asubuhi ya leo majira ya saa 3 na dakika 30 amezungumza na Jembe Fm kupitia kipindi cha kila Jumapili cha muziki wa Injili na habari zake kijulikanacho kama JEMBE GOSPEL, akizungumza juu ya tabiri zake za mara kwa mara ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa zikijikita katika soka la hapa nchini akitabiri michezo mbalimbali inayopigwa viwanja tofauti tofauti.

Mara baada ya mahojiano na kipindi hicho kinachoongozwa na Adolph Nzwalla feat Albert G. Sengo, hiki ndicho alichozungumza Mashimo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.