Wimbo wa Msanii Harmonize, Uno tayari umerejeshwa kwenye mtandao wa YouTube tangu utoweke Novemba 20 mwaka huu.
Ikumbukwe video hiyo iliondolewa baada ya Producer Magix kudai kwamba biti ya wimbo huo ni sampo ya biti yake aliyotumia kwenye wimbo wa Dundaing wa King Kaka.
“Kila mtu aseme Uno, sasa unapatikana youtube katika audio na video.” aliandika Enga kwenye ukurasa wake wa Instagram.
KWA UTHIBITISHO CHUNGULIA KICHUPA HICHO SASA HAPA CHINI.....
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.