Serikali kupitia Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya Nyamagana LEO Novemba 18, 2019 imesitisha shughuli za ibada nyumbani na katika Kanisa la Mfalme Zumaridi lililopo jijini Mwanza kutokana na kuendeshwa kinyume na taratibu. Uamuzi huo umetangazwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya Nyamagana, Dkt. Philis Nyimbi.
Aidha Dr. Nyimbi amemuomba msajili wa
vyama vya kijamii wizara ya mambo ya ndani ya nchi kujiridhisha na utendaji wa Kanisa la Pentekoste
Tanzania (PCCT) kama unazingatia katiba yake iliyosajiliwa mwaka
1997.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.