"Taifa letu linahitaji sana maombi naye rais wetu anasisitiza kila siku katika hotuba zake akitusihi tuzidi kumuombea"
"Tumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutuletea rais mwenye kariba kama ya Magufuli kwani kupitia yeye katufanyia mambo makubwa sana kwenye taifa hili ambayo hayajawahi kufanywa tangu dunia kuumbwa"
"Mwenyekiti ugomvi wetu umeisha, Unisamehe nami nimekusamehe, Tumenusurishana hapo kati naye mwenyezi Mungu ameweka amani"
Ni baadhi ya maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella akizungumza wananchi wa kijiji cha Kasenyi wakati akikagua kukamilika kwa ujenzi wa jengo la wazazi Zahanati ya Kasenyi wilayani Sengerema mkoani Mwanza.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.