Ndege ya Boeing aina ya 787-8 Dreamliner itakayokuwa ndege ya pili ya Boeing kuchukuliwa na Serikali ya Tanzania imefanyiwa majaribio Jumamosi Oktoba 12, 2019 huko Marekani
Japokuwa siku maalumu ya kupokelewa kwa ndege hiyo haijawekwa wazi ila ndege hiyo yenye rangi za ATCL ikiwa imeandikwa ‘Rubondo Island - Hapa Kazi Tu’ inaonekana ipo tayari kupasua anga
Boeing 787 Dreamliner ni ndege za Kimarekani zenye injini mbili zinazoweza kubeba abira kati ya 242 hadi 300, zinazotengenezwa na Kampuni ya Boeing.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.