ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, October 17, 2019

MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA MWENYEKITI WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA CDF, GENERAL VENANCE SALVATORY MABEYO AMEONGOZA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA TAIFA KUKAGUA VIPENYO SALAMA NA VISIVYO SALAMA KATIKA MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI.


 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akiongea na wananchi wa kijiji cha Kitaya baada ya kutoka kutembelea eneo la kumbukizi ya shujaa UD 5826 L/CPL Ahamad Mzee, alipoangushia Ndege mbili za Ureno april 1972, katika Msafara huo umeongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Mwenyekiti wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama CDF, General Venance Salvatory Mabeyo. (PICHA NA JESHI LA POLISI)
 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Mwenyekiti wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama CDF, General Venance Salvatory Mabeyo amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama, ameyasema hayo leo alipokuwa katika kijiji cha Kitaya baada ya kutoka kutembelea eneo la kumbukizi ya shujaa UD 5826 L/CPL Ahamad Mzee, alipoangushia Ndege mbili za Ureno april 1972 .( PICHA NA JESHI LA POLISI)
 Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Mwenyekiti wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama CDF, General Venance Salvatory Mabeyo, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na Mkuu wa Usalama wa Taifa, Kamishna Diwani Athuman wakiwa katika eneo Kitaya mkoani Mtwara katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji ilipo  kumbukizi ya shujaa UD 5826 L/CPL Ahamad Mzee, alipoangushia Ndege mbili za Ureno april 1972, . (PICHA NA JESHI LA POLISI)
Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Mwenyekiti wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama CDF, General Venance Salvatory Mabeyo, katikati ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na Mkuu wa Usalama wa Taifa, Kamishna Diwani Athuman alie mkono wa kushoto wa IGP Sirro wakiwa katika hifadhi ya bandari ya Ghuba ya Mnazi na maingilio ya mto Ruvuma baada ya kukagua kipenyo cha Kilambo kinachotumiwa na wahalifu kutoka nchi jirani ya Msumbiji. (PICHA NA JESHI LA POLISI)

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.