ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, August 6, 2019

MEDDIE KAGERE APIGA HAT TRICK SIMBA IKIIBUKA KIDEDEA TAIFA.


Klabu ya Simba imeweza kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Power Dynamo kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Taifa.

Bao la kwanza kwa Simba lilifungwa na Meddie Kagere dakika ya 3 akimalizia pasi ya mlinda mlango wa Power Dynamo akaongeza bao la pili dakika ya 59 akimalizia pasi ya Deo Kanda na amepachika bao la tatu dakika ya 73.

Kwa upande wa Power Dynamo wao walifunga bao dakika ya 24 kupitia kwa Jimy baada ya mabeki wa Simba kujichanganya.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.