Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella akiwa ameambatana Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa, Mkuu wa wilaya ya Ukerewe Cornel Magembe na kamati yake ya Usalama, Maafisa wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, wote wametia kambi hapa katika kisiwa cha Siza, kata ya Ilangala wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, ambapo watu wanne akiwemo Afisa mfawidhi wa rasilimali za uvuvi Kanda ya ukerewe aliyekuwa kiongozi wa kikosi chenye jukumu la kudhibiti na kutokomeza biashara haramu ya mazao ya uvuvi katika Ziwa Victoria wameuawa baada ya kushambuliwa na wananchi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.