ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, July 25, 2019

KESI YA WAANDISHI WA HABATRI KUANZA KUSIKILIZWA UPYA.

Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza Leo julai 24 imeamuru kesi iliyokuwa ikiwakabili waandishi wa  habari  wawili Christopher Gamaina na Zephania Mandio kurudiwa upya kusikiliza.

Katika huku yake Jaji Siyna amesema kuwa kesi hiyo itarudiwa kusikilizwa na hakimu mwingine sio yule wa awali.

Pia amefuta ushahidi wote wa serikali.

Amesema kuamuliwa kusikilizwa upya kwa kesi hiyo ni kulinda haki ya pande zote mbili(interest of justice) kwa serikali na watuhumiwa.

Edwin Soko

Mwanza

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.