ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 22, 2019

WAZIRI MKUU WA UINGEREZA KUISIMAMISHA DUNIA KWA DAKIKA KADHAA KESHO.


Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May atazungumza mchana wa siku ya Jumatano kabla ya kuondoka katika ofisi yake iliyoko katika mtaa wa Downing na kwenda kuwasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Malkia Elizabeth.

Waziri Mkuu mpya wa Uingereza atachukua madaraka muda mfupi baada ya May kujiuzulu.

Wakati huo huo, Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya imesema iko tayari kuanzisha uhusiano wa kikazi na waziri mkuu yeyote wa Uingereza.

Msemaji wa halmashauri hiyo amesema leo kuwa Boris Johnson anatarajiwa kuchukua nafasi ya May.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.