Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella mwishoni mwa wiki amezungumza na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kwimba na kubaini mengi madhaifu ambayo licha ya kwamba kila kuchwao afanyapo ziara wilayani humo amekuwa akikumbana nayo lakini mapungufu hayo yamekuwa yakijirudia, huku tatizo moja likizaa tatizo jingine jipya.
Kutokana na usugu huo amewataka wajiulize swali 'KWIMBA TATIZO LETU NINI'
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.