ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 10, 2019

HAFLA YA UAPISHO NA KUPOKEA MRABAHA KUTOKA AIRTEL IKULU DSM



Ikulu, Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 10 Juni, 2019 awaapisha viongozi wafuatao aliowateua hivi karibuni - 1.Mhe. Innocent Lugha Bashungwa(Mb) kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara 2.Bw. Charles Edward Kichere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe 3.Bw. Edwin Mhede Kuwa Kamishna mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Aidha Mhe. Rais Dkt. Magufuli anashuhudia kuanza kupokelewa kwa Fidia za kila mwezi kutoka katika Kampuni ya Bharti Airtel na kupokea Mchango Binafsi wa Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal kwaajili ya Ujenzi wa Hospital ya Uhuru Ihumwa Jijini Dodoma

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.