ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, May 15, 2019

MAGARI YAGONGANA USO KWA USO, MMOJA AFARIKI.

Mwanafunzi wa shule ya msingi Silver Mjini Babati Mkoani Manyara, Osiligi Paul mwenye umri wa miaka mitatu na miezi sita amefariki dunia baada ya kutokea ajali mbaya.

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Manyara, Augostino Senga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyohusisha basi la kampuni ya Mtei kugongana na basi dogo aina ya Hiace eneo la Himiti mjini Babati




.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.