Wadau wa Maendeleo Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO na FAWE TZ kupitia ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Korea ya Kusini (KOICA) wanaendesha mafunzo ya Malezi na Unasihi katika shule mbalimbali wilayani Sengerema Mkoani Mwanza ambapo siku ya Alhamisi ya tarehe 16 mwezi Mei 2019 walikuwa katika Shule ya Msingi Iyogelo.
Jeh wanafunzi wananufaika vipi na mpango huo?
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.