Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesafiri leo kuelekea nchini Afrika kusini huku akiongozana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
BAOBAO wakutana na NBAA, wapatiwa elimu ua Uhasibu
-
*Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu
Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa I. Mzenzi akizungumza na wanafunzi wa
Kidato cha ...
0 comments:
Post a Comment