ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, October 12, 2018

WAFANYABIASHARA MWANZA WALIA NA RIBA ZA MABENKI.



NA ZEPHANIA MANDIA/GSENGOtV

KUELEKEA uchumi wa Kati wa Viwanda 2025 Wafanyabiashara watumiaji wa Taasisi za kibenki wameiomba Benki Kuu Nchini kupunguza kiwango cha riba kwa Taasisi hizo ili wafanyabiashara waweze kujikwamua kiuchumi kupitia mikopo inayotolewa na Taasisi hizo.

Hiki ni Kikao cha Wafanyabiashara kutoka Klabu ya NMB Mkoa wa Mwanza ambapo wamekutanishwa na Benki NMB, Lengo likiwa ni kuziainisha mafanikio na kutambua changamoto wanazokumbana nazo katika biashara zao na utoaji huduma ili kujikwamua kiuchumi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.