Ndugu waandishi wa habari,
Mwili wa Marehemu Isaack Gamba, utaagwa ofisi za UTPC zilizopo Isamilo - Mwanza, siku ya Jumanne tarehe 30/10/2018 saa 2:00 asubuhi na kisha kusafirishwa kwenda Bunda mkoani Mara kwa maziko.
Nyote mnakaribishwa kwa ajili ya kumuaga mwenzetu. Ukipata ujumbe huu mtaarifu na mwenzio
Bwana Mungu alitoa na Bwana Mungu ametwaa. Jina lake lihimidiwe
Mary Ngoboko
UTPC - OMS
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.