GSENGOtV
Shule kongwe ya sekondari ya wasichana ya Bwiru,Jijini Mwanza imeanzisha mkakati maalumu wa kukuza kiwango cha taaluma na ufaulu na kupambana na matukio ya mimba na division ziro kwa wanafunzi.
Licha ya kuwaasa na kuwapa mbinu nini chakufanya wakiwa shuleni na wawapo nje ya shule, Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea haki za wanawake na watoto la KIVULINI, Yasin Ally amefunguka siri ya matoke chanya yaliyojiri kwa matokeo kidato cha sita mtihani wa 2017-2018.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.