ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, August 30, 2018

MAKUNDI YA UEFA YATOKA, LIVERPOOL YAPANGWA KUNDI LA KIFO.

Ratiba ya makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya imetoka jioni ya leo huku ikimshuhudia bingwa mtetezi, Real Madrid ikipangwa kundi moja na AS Roma, CSK Moskiva pamoja na Plazen.

Timu za England, Liverpool ipo kundi la kifo sambamba na Napoli, PSG na Crvena huku Manchester United ikijiandaa kukabiliana na nyota wake wa zamani Cristiano Ronaldo akiwa na klabu yake mpya ya Juventus.

Tottenham Hotspurs wamepangwa kundi B wakiwa na Bracelona, Inter Milan na PSV.Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.