Baada ya kuonekana tu katika vazi la bikini Rais wa Croatia Colinda Grabar-Kitarovich amezua ligi kwenye mitandao na hata wadau wa ulimwengu kuanza kumuweka kwenye uzani wa masuala ya urimbwende.
Na sasa kiongozi huyo amejichukulia chati si tu katika medani za kisiasa bali pia amesogezwa kwenye sahani la vipimo vya wanawake warembo katika ugwe za mashabiki wa soka na timu za taifa shiriki kombe la dunia 2018.
Kwa sasa Rais huyo anasherehekea mafanikio makubwa ya timu ya taifa lake analoliongoza kufika fainali ya kombe la dunia kwa mara ya kwanza tangu kuasisiwa kwa taifa lake.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.