Ikiwa zimepita wiki mbili tangu mtoto wa Muigizaji Muna Love anayeitwa patrick azikwe katika makaburi ya Kinondoni na kifo chake kuibua gumzo kuhusiana na nani ni baba mzazi wa mtoto huyo ambapo alihusishwa Mtangazaji wa Clouds TV, Casto Dickson na Peter Zakaria Komu, hatimaye muigizaji huyo leo ameamua kuzungumza na waandishi wa habari na kufafanua sintofahamu zote zilizotokea wakati wa mazishi ya mwanae.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.