ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, March 22, 2018

KARIBU TANZANIA, KARIBU BUJORA CULTURAL CENTRE.



Bujora Cutural Centre ni kitengo cha Kutoa elimu, Historia na Tamaduni za Asili ya Wasukuma kinacho patikana ndani ya kituo cha Makumbusho ya watu wa kabila hilo kilichopo Kisesa mkoani Mwanza.

Kituo hiki kimebarikiwa kuwa na hazina kubwa ya kumbukumbu za asili na sanaa zilizohifadhiwa bila kufutika na hata hii leo zikatumika kuwa kielelezo kwa vizazi na vizazi.

Utamaduni wa Wasukuma umetanda maeneo mengi nchini Tanzania, kama ilivyo kwa wingi wa idadi ya watu wa kabila hilo vivyo hivyo tamaduni zao zimeenea kutanda na kujulikana kila mahali.

Ukisema wapi Usukumani, bila shaka moyo wa watu wa kabila hilo umejikita Kanda ya Ziwa kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga na kwa nafasi fulani mkoani Mara maeneo ambayo yanamizizi ya kutosha ya watu wa asili hiyo.
...............................................................................................................................................
The Bujora Cultural Centre and Sukuma Museum in Kisesa, are historical institutions founded for the education and support of Sukuma culture. The arts of the Sukuma culture are among the richest in East Africa.

As the Sukuma people are the largest cultural group in Tanzania, the Sukuma culture is dispersed throughout the country.

The heart of Usukuma is in the Lake Zone of Mwanza, Shinyanga and the Mara regions where the legacy of a rich art tradition is now maintained.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.