Licha ya kutumika kama sehemu ya kuzindua na kukagua miradi na utekelezaji wa Ilani ya Serikali, haki imeendelea kutafutwa ndani ya ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mkoani Mwanza, kwani kila mwananchi kwa nafasi yake ameonekana kuutumia mwanya huo kama fursa na kimbilio kwa shida zake.
Shuhudia yaliyofanyika na yaliyojiri.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.