PICHA/VIDEO NA ZEPHANIA MANDIA WA GSENGO BLOG.
KASI ya maendeleo katika uchumi wa nchi yoyote ile inategemea kuwekeza katika rasilimali watu...
Nayo elimu imekuwa ndiyo msingi wa uwekezaji.
Naam ni matarajio ya Taifa pamoja na wananchi wengi kwamba baada ya watu wetu kuhitimu watakuwa na upeo wa hali ya juu katika kupambana na changamoto watakazokumbana nazo sehemu za kazi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.